Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mataifa sita ya Kusini ya Bahari ya Hindi yatiana sahihi muafaka wa hifadhi ya samaki.

Mataifa sita ya Kusini ya Bahari ya Hindi yatiana sahihi muafaka wa hifadhi ya samaki.

Mataifa sita, baadhi yao kutoka sehemu ya Kusini ya Bahari ya Hindi, ikijumuisha Visiwa vya Comoros, Ufaransa, Kenya, Msumbiji, New Zealand na Ushelisheli yametiana sahihi maafikiano ya kutunza na kuhifadhi, kwa ushirika, mali ya asili ya samaki katika maeneo yao.