Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa UM wa mapitio dhidi ya biashara haramu ya silaha ndogo ndogo duniani

Mkutano wa UM wa mapitio dhidi ya biashara haramu ya silaha ndogo ndogo duniani

Baada ya mijadala ya wiki mbili hapa Makao Makuu iliozingatia ule Mpango wa Utendaji uliopitishwa mwaka 2001 kudhibiti biashara haramu ya silaha ndogo ndogo duniani wajumbe wa kimataifa walishindwa kupitisha azimio la pamoja kuhusu kikao hicho.

Kwa mahojiano kamili sikiliza taarifa.