Wadau wahaha kutoa elimu kwa watoto wakimbizi Uganda
Pakua
Nchini Uganda wadau wanahaha kutoa elimu kwa watoto wakimbizi ambao wamekosa fursa hiyo.
John Kibego kutoka Hoima anasimulia katika makala kile kinachofanyika ili kujenga jamii endelevu licha ya mazingira magumu. Ungana naye