Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtoto Salma kutoka Lindi Tanzania anatambua haki za mtoto

Watoto wakishiriki hafla ya kuchagiza amani nchini SUdan Kusini.
UNMISS\Nektarios Markogiannis
Watoto wakishiriki hafla ya kuchagiza amani nchini SUdan Kusini.

Mtoto Salma kutoka Lindi Tanzania anatambua haki za mtoto

Haki za binadamu

Mkataba wa kimataifa wa  haki za mtoto CRC ambao mwaka huu umetimiza miaka 30 tangu  upitishwe na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, unataja bayana haki kuu nne za msingi ambazo kile mtoto, yaani mkazi wa dunia mwenye umri wa miaka 18 au chini ya hapo anapaswa kuzipata awe wa kike au wa kiume.

Haki hizo ni kuishi, kuendelezwa, kulindwa na kushirikisha ambapo tulimuuliza mtoto Salma Ismail Rashidi, mwanafunzi wa shule ya msingi Namakonde wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi nchini Tanzania kama ana uelewa wa haki hizo.

(Sauti ya Salma Ismail Rashidi)

Na je nini manufaa ya mtoto kupatiwa haki hizo, Salma anasema..

(Sauti ya Salma Ismail Rashidi)