Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

11 JULAI 2023

11 JULAI 2023

Pakua

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo leo ninatupeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, kama ilivyo sehemu nyingi za Afrika Mashariki nako lugha ya kiswahili inatajwa kuwa chombo chenye nguvu sana kinachoingilia kati ujenzi wa amani na pia katika biashara hasa kwa wakaazi wa mji wa Goma katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Kiswahili ndio lugha ya kwanza nchini DRC yenye idadi kuwa ya wazungumzaji katika mikoa ya Mashariki na Magharibi mwa nchi ambako inatumiwa hata kwenye vyombo vya habari kama Redio na televisheni. Pia tunaangazi ripoti ya UNFPA ya idadi ya watu Duniani. Mashinani tunakupeleka nchini Haiti, kulikoni?

Mwenyenji wako ni Leah Mushi, karibu!

Audio Credit
Leah Mushi
Sauti
10'50"