Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

21 SEPTEMBA 2022

21 SEPTEMBA 2022

Pakua

Katika Jarida la habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea 

-Kandoni mwa mjadala wa wazi wa Umoja wa Mataifa shirika la afya duniani WHO limewataka viongozi wa dunia kuchukua hatua haraka kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza NCDs yanayokatili maisha ya watu milioni 50 kila mwaka

-Kijana Mtanzania Gibson Kawago ni miongoni mwa vijana 17 waliotangazwa leo na Umoja wa Mataifa kuwa viongozi vijana wa kusongesha malengo ya maendeleo endelevu SDG's je amepokeaje uteuzi huo na anapanga kufanya nini?

-Makala yetu inaturejesha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kuwasikia wadau mbalimbali wakitathimini marekebisho ya mfumo wa elimu

-Na mashinani Rais Felix Tshisekedi ameutaka Umoja wa Mataifa kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya ugaidi nchini mwake.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Sauti
13'15"