NCDs

COVID-19 yadumaza tiba dhidi ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza- WHO

Huduma za kinga na tiba dhidi ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza, NCDs zimevurugwa kwa kiasi kikubwa tangu kulipuka kwa ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19, limesema shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO kufuatia utafiti uliofanyika katika mataifa 155.

WHO yatoa mwongozo wa kudhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza mijini

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limetoa mwongozo na mbinu za kuwezesha viongozi kwenye maeneo ya majiji kuweza kukabiliana na visababishi vikuu vya vifo kwen

Sauti -
2'45"

WHO yatoa mwongozo wa kudhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza mijini

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limetoa mwongozo na mbinu za kuwezesha viongozi kwenye maeneo ya majiji kuweza kukabiliana na visababishi vikuu vya vifo kwenye maeneo hayo.

Magonjwa yatokanyo na matumizi ya tumbaku yanagharimu dunia dola trilioni 1.4 kila mwaka- WHO

Gharama za magonjwa yatokanayo na matumizi ya tumbaku kila mwaka ni dola trilioni 1.4 kote ulimwenguni kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la afya duniani, WHO i

Sauti -
3'17"

Magonjwa yatokanyo na matumizi ya tumbaku yanagharimu dunia dola trilioni 1.4- WHO

Gharama za magonjwa yatokanayo na matumizi ya tumbaku kila mwaka ni dola trilioni 1.4 kote ulimwenguni kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la afya duniani, WHO iliyotolewa leo Mei 31 kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya tumbaku.

Dkt. Tedros aonyesha picha halisi ya NCDs duniani, wajumbe waonyesha simanzi

Simanzi ilionekana leo kwenye nyuso za washirki wa mkutano wa ngazi ya juu kuhusu magonjwa yasiyo ya kuambukiza baada ya Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya duniani, WHO, Dkt. Tedros Ghebreyesus kuomba washiriki wasimame pindi tu wanaposikia ametaja ugonjwa ambao umekuwa chanzo cha kifo cha iwe ndugu, jamaa, jirani au rafiki.

Ukosefu wa mazoezi wachochea magonjwa yasiyo ya kuambukiza.

Kenya imesema inauchukulia kwa uzito wa juu mkutano wa leo wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, NCDs, kutokana magonjwa hayo kuathiri baadhi ya wananchi wake.  

Kufanya mazoezi si lazima uwe mwanamichezo:WHO

Huitaji kuwa mwanamichezo nyota kuufanyisha mazoezi mwili wako , kupanda ngazi badala ya kutumia lifti kunaleta tofauti kubwa. Kauli hiyo imetolewa leo na mkurugenzi mkuu wa shirika la afya ulimwenguni WHO, mjini Lisbon Ureno wakati wa uzinduzi wa mpango wa kimataifa wa kuwa na dunia yenye afya bora.

Juhudi zaidi zahitajika kupambana na magonjwa sugu -WHO

Hatua za haraka ni lazima zichukuliwe ili kukabiliana na magonjwa sugu pamoja na magonjwa  ya akili ambayo yanaongoza  kwa kusababisha vifo pamoja na changamoto za kiuchumi na kimaendeleo

Jopo laundwa ili kutokomeza magonjwa yasiyoambukizwa: WHO

Shirika la afya duniani-WHO limetangaza kuundwa kwa jopo jipya la ngazi za juu ili kuweza kuchagiza  hatua za kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukizwa  NCDs, ambayo yameelezwa kuwa moja ya yaliyo mstari wa mbele kwa vifo vya binadamu. Magonjwa hayo ni kama vile saratani, ugonjwa wa moyo, mapafu na kisukari.