Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

25 Februari 2021

25 Februari 2021

Pakua

Jaridani hii leo Flora Nducha anamulika teknolojia na hatua ambazo serikali zinapaswa kuchukuliwa ili ziweze kunufaisha kila mtu na zilete maendeleo ya watu. Watunga sera wakiwemo wabunge wana jukumu lao, ni kutoka UNCTAD. Kisha anakwenda Tanzania hususan mkoani Kigoma ambako kilimo hifadhi charipotiwa kurejesha ujana kwa wakulimia, kivipi? Na mwisho ni kule Uganda ambako msichana mmoja anasema ingawa janga la COVID-19 limemwachia kilema cha kutokuwa na mguu lakini katu halitapora ndoto yake ya maisha. Makala tunamulika matumizi ya dawa za kuuawa wadudu kwenye mboga za majani. Mashinani tunabisha hodi Somaliland !

Audio Credit
FLORA NDUCHA