FAO yasema mazalia mapya ya nzige yaongeza hatari Pembe ya Afrika 29 Januari 2020 Habari kwa Ujumla Pakua Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO, leo limeonya kwamba kuna tishio kubwa la kutokuwa na uhakika wa chakula na maisha kwenye pembe ya Afrika kutokana na mlipuko wa nzige na mazalia mapya ya wadudu hao hatari. Audio Credit UN News/Anold Kayanda Audio Duration 1'54" Photo Credit Photo: FAO/Carl de Souza nzige pembe ya Afrika uhakika wa chakula Kenya Somalia UGANDA sudan kusini Ethiopia