Nimependa muziki tangu utotoni-Kiba

Nimependa muziki tangu utotoni-Kiba

Pakua

Mimi sikuchagua muziki, bali muziki ulinichagua! Hiyo ni kauli ya mwanamuziki Ali Kiba wakati alipohojiwa na Idhaa ya Kiswahili.

Mwanamuziki huyu ambaye ni mashuhuri nchini mwake Tanzania na nje anasema safari ya kufikia wasanii katika fani mbali mbali kula jasho lao bado haijafikiwa, hata hivyo, hajakata tamaa.

Kiba anazungumzia safari yake ya muziki ilipoanza na kumfikisha alipo sasa, basi ungana na Grace Kaneiya kwa undani wa makala hii.

Photo Credit
Mwanamuziki Ali Kiba. Picha: UM/Video capture