Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wasanii Benin wapaza sauti dhidi ya ndoa za utotoni

Wasanii Benin wapaza sauti dhidi ya ndoa za utotoni

Pakua

Katika nchi zinazondelea, Umoja wa Mataifa unasema, msichana mmoja kati ya watatu huolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 18. Ingawa kuna sheria kali dhidi ya hilo, desturi hizo bado zimetapakaa, zikisababishwa mara kwa mara na umasikini na ukosefu wa usawa wa kijinsia. Nchini Benin, wasanii kutoka jamii mbalimbali wamejitokeza na kushirikiana kwa pamoja kutumia kipaji chao kupaza sauti ili kutokomeza desturi hizi. Amina Hassan anasimulia katika makala hii.

Photo Credit
Wasanii kutoka Benin. Picha:VideoCapture