Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Biashara ndogo ndogo ndio ziimarishwe kukwamua uchumi - UNCTAD

Biashara ndogo ndogo ndio ziimarishwe kukwamua uchumi - UNCTAD

Pakua

Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD imesema maendeleo ya kidijitali yana fursa kubwa katika kuinua biashara ndogo na za kati duniani.

Katibu Mkuu wa UNCTAD Dkt. Mukhisa Kituyi amesema hayo akihojiwa na Idhaa hii kuhusu siku ya kimataifa ya wajasiriamali wa kati na wadogo inayoadhimishwa hii leo.

Amesema UNCTAD inaiga mfano kutoka China unaolenga vijana na wafanyabiashara wadogo akisema..

(Sauti ya Dkt. Kituyi)

Photo Credit
Biashara ndogo ndogo Kakuma, Kenya.(Picha:UN Habitat/Julius Mwelu)