Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kutoboka kwa kiatu si mwisho wa safari

Kutoboka kwa kiatu si mwisho wa safari

Pakua

Nchi ya Uganda inasifiwa kwa kupokea wakimbizi wengi na kuwajumuisha katika jamii kwa kuwapa kazi, ardhi na fursa za kujiendeleza. Mbali na changamoto nyingi anazokumbana nazo , mmoja wa wakimbizi hao anatumia fursa hiyo kujisaidia na kuwasaidia wengine. Sikiliza makala hii ya Amina Hassan yenye kusimulia zaidi.

Photo Credit
Bosco Niyonkuru, muhudumu mkimbizi ambae amejitolea uhai wake kuwahudumia wengine nchini Uganda. Picha: Picha: UNHCR/Video capture