Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ndege zisizo na rubani zatumika kupima ramani Zanzibar

Ndege zisizo na rubani zatumika kupima ramani Zanzibar

Pakua

Huko Tanzania Zanzibar, nuru imeangaza. Benki ya dunia kwa kushirikiana na serikali wameasisi mradi wa upimaji ramani kwa kutumia ndege zisizo na rubani au Drones, mradi ambao unaelezwa kwamba sio tu utawezesha kuwafikia wananchi lakini pia ni gharama nafuu..

Mradi huu umepokelewa vyema na wadau wa maendeleo kisiwani humo hususani wanawake, mathalani Khadia Ali ambaye ameshiriki katika hatua za mwanzo za mradi. Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.

Photo Credit
Ndege zisizo na rubani zinazotumika nchini Tanzania.(Picha:World Bank/video capture)