Kutana na Adian Coker, mwanamuziki anayekataa ubaguzi

Kutana na Adian Coker, mwanamuziki anayekataa ubaguzi

Pakua

Burudani na ujumbe! Ndivyo unavyoweza kusema ukitafakari ushairi wenye vina unaeleta hisia za ujumbe kuhusu kupinga ubaguzi wa kila aina.

Huu ni ujumbe wa mwanamuziki Adina Coker mkazi wa Uingereza ambaye ameamua kuingia vitani dhidi ya ubaguzi sambamba na Umoja wa Mataifa unaopinga dhana hiyo.Ungana na Assumpta Massoi katika midundo hiyo.

Photo Credit
Mwanamuziki mkazi wa Uingereza. Picha: UNAIDS/Video capture