Neno la Wiki
Pakua
Neno la wiki hii tunaangazia neno “MWIKU” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla kutoka baraza la Kiswahili Tanzania, BAKITA.
Mwiku maana yake ni mabaki ya chakula au makombo.