Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya kilimo kuwa uti wa mgongo, utapiamlo bado changamoto nchini Uganda.

Licha ya kilimo kuwa uti wa mgongo, utapiamlo bado changamoto nchini Uganda.

Pakua

Nchini Uganda utapiamlo unaathiri watoto zaidi ya Milioni Mbili walio na umri wa chini  ya miaka mitano. Hii ni changamoto kwa ufikiaji wa malengo ya maendeleo ya milenia hususan lile la kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga. Je ni hatua gani zinafanyika? Ungana na Assumpta Massoi katika ripoti hii.