Waathiri wa mafuriko Kenya waishukuru UNICEF
Waathirika wa mafuriko makubwa yanayokumba maeneo mbalimbali ya Mashariki mwa Afrika na kusababisha athari ikiwemo watu kupoteza kila kitu, hususan nchini Kenya wamelishukuru shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kuwasaidia. Jason Nyakundi na maelezo zaidi.