Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

11 Mei 2020

FAO yasema ingawa tumepiga hatua kibarua bado kikubwa kutokomeza nzige wa jangwani. Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS umesema umedhamiria kulisaidia taifa hilo changa kabisa duniani kupambana na janga la corona au COVID-19.  Wasichana Somalia wajivunia kufunga m

Sauti
12'33"
UNICEF/Ilvy Njiokiktjien

Watoto milioni 116 kuzaliwa miezi 9 baada ya COVID-19 kutangazwa janga, je changamoto ni zipi?

Kuelekea siku ya mama duniani tarehe 10 mwezi huu wa Oktoba, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linakadiria kuwa watoto milioni 116 watakuwa wamezaliwa wiki 40 tangu ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19 utangazwe kuwa janga la kimataifa tarehe 11 mwezi Machi mwaka huu.

Sauti
1'52"