UNESCO yalaani mauaji ya mfanyakazi wa Televishen ya Shamshad Afghanistan
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO Irina Bokova , leo amelaani vikali mauaji ya mfanyakazi wa televisheni ya Shamshad, yaliyotokea jana mjini Kabul Afghanistan baada ya mtu mwenye silaha kuvamia ofisi za televisheni hiyo na kujeruhi pia waf