TAMWA Zanzibar imechangia katika kubadili taswira ya mwanamke kwenye jamii- Bi. Issa

Dkt. Mzuri Issa, mkurugenzi wa chama cha waansihi wa habari nchini Tanzania tawi la Zanzibar wakati wa mahojiano na Idhaa ya Kiswahili.
UN News/Assumpta Massoi
Dkt. Mzuri Issa, mkurugenzi wa chama cha waansihi wa habari nchini Tanzania tawi la Zanzibar wakati wa mahojiano na Idhaa ya Kiswahili.

TAMWA Zanzibar imechangia katika kubadili taswira ya mwanamke kwenye jamii- Bi. Issa

Haki za binadamu

Dhamira yetu kubwa kama chama cha wandishi wa habari wanawake, TAMWA visiwani Zanzibar nchini Tanzania ni kuwatetea wanawake na watoto kwa kupaza sauti zao kupitia vyombo vya habari.

Hiyo ni kauli ya Mkurugenzi wa TAMWA Zanzibar Dkt. Mzuri Issa katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani,  Bi Issa amesema awali walijikita katika kutumia vyombo vya habari kwani waligundua kwamba taarifa  kuhusu wanawake kupitia vyombo hivyo zilikuwa nadra

(Sauti ya Mzuri)

Bi. Issa amesema katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa hususan namba tano la usawa wa kijinsia lakini lengo lingine litakalo fanikisha kazi zao

(Sauti ya Mzuri)