zanzibar

Matembele 'shata' au matembele afya?

Huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania katika eneo la Kidoti, Wilaya ya Kaskazini A, mafunzo  yaliyotolewa na chama cha wanahabari wanawake Tanzania, TAMWA visiwani humo yamekuwa na manufaa makubwa kwa wanakikundi cha Mwanzo Mgumu.

Sauti -
4'1"

Zamani tulipeleka watoto kliniki muda tuliopenda lakini mafunzo ya TAMWA yametufungua- Mwanzo Mgumu

Afya ya mama na mtoto ni jambo muhimu katika kuhakikisha kuwa jamii inakuwa na nguvu kazi bora. Afya hii huanzia tangu hata kabla ya ujauzito hadi ujauzito wenyewe, kujifungua na hata baada ya kujifungua.

Sauti -
4'52"

14 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Maaifa hii leo Flora Nducha anakuletea

-Uganda yaongeza muda wa wiki tatu kutekeleza sheria za kupambana na virusi vya Corona au COVIDI-19 ikiwemo marufuku ya kutembea usiku, kutumia usafiri wa umma na magari binafsi.

Sauti -
14'1"

Zanzibar yachukua hatua kukabili COVID-19

Katika kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19 huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukua hatua katika sekta ya mahakama ikiwemo kus

Sauti -
2'47"

26 MACHI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'55"

COVID-19: Zanzibar yachukua hatua kupunguza mlundikano magerezani

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya Corona, huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania ikiwa imefikia wagonjwa wawili, hii leo serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza hatua za kuhakikisha sekta ya mahakama inaunga mkono hatua za kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona, COVID-19 ikiwemo kusitisha kwa muda usikilizaji wa kesi za madai na jinai. Omar Abdalla wa Televisheni washirika ZenjFM  kutoka Zanzibar ametuandalia taarifa hii.

06 MACHI 2020

Katika Jarida letu leo la mada kwa kicha Grace Kaneiya anakuletea

Miaka 25 baada ya jukwaa la Beijing la kuchukua hatua kuhusu Haki za wanawake, Umoja wa Mataifa unasema wakati ni sasa na hakuna kinachohalalisha kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia

Sauti -
11'58"

Mafunzo kutoka TAMWA-Zanzibar yawezesha wanawake wa Kidoti, Kaskazini A

Huko Zanzibar, Tanzania mafunzo yaliyotolewa na chama cha wanahabari wanawake Tanzania, TAMWA kuhusu kuweka na kukopa yamewezesha wanachama wake ambao ni wanawake wakazi wa eneo la Kidoti, wilaya ya kaskazini A, kuweza kujiinua kiuchumi. 

04 FEBRUARI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo kutoka Umoja wa Mataifa arnold Kayanda anakuletea

Sauti -
12'3"