Vijana kutoka Kenya wafanya mkutano wa maandalizi ya mkutano wa hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

16 Septemba 2019

Huku dunia ikikumbwa na changamoto zinazotakana na mabadiliko ya tabianchi harakati zinafanywa kuweza kukabiliana na athari zozote ambazo zinaweza kuibuka siku za usoni.

Mwezi huu mkutano mkuu utandaliwa jijini New York ambao utawaleta pamoja vijana wavumbuzi, wafanyabiashara na wanaharakati kutoka sehemu zote duniani. Miongoni mwa vijana hao watatoka nchini Kenya kuja hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa, New York na mwandishi wetu wa Nairobi Jason Nyakundi alipata kuhudhuria mkutano wao wa maandalizi na kututumia taarifa ifuatayo.

(Taarifa ya Jason)

 

♦ Kutembelea ukurasa maalum wa COP26 bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter