Dkt Salim Ahmed Salim

Madiba hakupenda makuu

Ikiwa leo Umoja wa Mataifa  unafanya tukio maalum kuhusu miaka 100 tangu kuzaliwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela, mwanadiplomasia nguli nchini Tanzania na ambaye amewahi kuhudumu barani Afrika na Umoja wa Mataifa amemmwagia sifa hayati Mandela akisema kuwa alikuwa k

Sauti -
2'42"

Viongozi wa sasa waige mfano wa Mandela- Dkt. Salim

Mwendazake Mzee Nelson Mandela, angalikuwa anatimiza umri wa miaka 100 mwaka huu iwapo angalikuwa hai.

Sauti -
4'31"

Kisasi cha Mandela baada ya kutoka gerezani ni cha kuigwa- Dkt. Salim

Mwanadiplomasia nguli ambaye amewahi kufanya kazi na hayati Mzee Nelson Mandela azungumzia upekee aliokuwa nao mwendazake huyo ambaye leo anaenziwa na UN

20 Agosti 2018

Hii leo Patrick Newman anaangazia jinsi gani wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wanamkumbuka Kofi Annan, KatibuMkuu wa 7 aliyefariki dunia jumamosi huko Uswisi. Naye Dkt.

Sauti -
11'38"

Wanaombeza Kofi Annan hawafahamu utendaji wa UN- Dkt. Salim

Watu mbalimbali waliowahi kufanya kazi na Kofi Annan, wameendelea kuelezea majonzi yao sambamba na kile ambacho wanamkumbuka nacho. Miongoni mwao ni Dkt. Salim Ahmed Salim kutoka Tanzania

Mpatanishi anapofungasha virago ni mashaka- Dkt. Salim

Mpatanishi anapofungasha virago ni mashaka- Dkt. Salim

Hatma ya amani Mashariki ya Kati hususan kati ya wapalestina na waisraeli imeingia dosari baada ya Marekani kutangaza kutambua Yerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Sauti -

Dkt. Salim azungumzia hatma ya Mashariki ya Kati

Dkt. Salim azungumzia hatma ya Mashariki ya Kati

Kufuatia mjadala unaoendelea kuhusu hatma ya mji wa Yerusalem huko Mashariki ya Kati na mustakhbali wa suluhu ya mataifa mawili ya Palestin na Israel kwenye ukanda huo, mwanadiplomasia nguli nchini Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim ametaja kile kinachopaswa kuzingatiwa ili amani iwepo.

Sauti -