Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake Sudan wakwamuliwa kutambua haki

Wanawake Sudan wakwamuliwa kutambua haki

Licha ya milio ya risasi na ghasia kila uchao, wanawake nchini Sudan wanapatiwa usaidizi wa kutambua haki zao, ulinzi na uwakilishi katika nafasi za uamuzi, amesema mwakilishi wa shirika la wanawake kutoka jamii ya watu wa asili ya Nuba iliyoko jimboni Kordofan Kusini.

Winnie Kodi ni miongoni mwa wawakilishi wa jamii asilia katika mkutano wa 16 wa jukwaa la kudumu kuhusu masuala ya jamii hizo, ulioanza jana mjini New York Marekani, anasema shirika lake linasaidia wanawake na wasichana wanaoathiriwa na machafuko.

(Sauti Winnie)

Amesema juhudi za kuelimisha jamii hizo zimeonekana dhahiri kwani.

(Sauti Winnie)