Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Benki ya dunia yainua elimu Papua Guinea

Benki ya dunia yainua elimu Papua Guinea

Benki ya dunia imeleta nuru kwa elimu hususani shule ya msingi nchini Papua Guinea. Haikuwa rahisi, kwani sekta ya elimu ilikosa mueleko sahihi kutokana na ukosefu wa mbinu za kufundishia.

Amina Hassan anaeleza hali ilivyokuwa na ilivyo katika makala ifuatayo, ungana naye.