Skip to main content

Uhifadhi wa misitu Uganda, wananchi walalama

Uhifadhi wa misitu Uganda, wananchi walalama

Uhifadhi wa misitu na mazingira nchini Uganda unakabiliana na vikwazo kadhaa ikiwamo unyanyasaji kwa wananchi wanaolalamikia vitendo vinavyofanywa na vikosi vya polisi.

Kulikoni? Ungana na John Kibego katika makala ifuatayo.