Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zapigwa jeki-Uganda

Juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zapigwa jeki-Uganda

Juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zimepata msukumo mpya nchini Uganda. Katika jamii ya wakulima na wafugaji wilayani Nakaseke katikati mwa nchi hiyo, mafunzo maalumu yanatolewa kwa ushirikiano wa mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi UNFCCC na serikali ya Uganda kuhakikisha jamii hizo na mifugo yao wanaendelea kupata malisho, chakula na maji. Kwa undani zaidi ungana na Flora Nducha katika makala hii.