Upinzani lazima uheshimu demokrasia Msumbiji:Nyusi

Upinzani lazima uheshimu demokrasia Msumbiji:Nyusi

Mvutano wa kisiasa baina ya serikali na upinzani nchini Msumbiji umekuwa tatizo ambazo limechangia baadhi ya watu hata kukimbia. Serikali tawala inasem,a wananchi waliiweka madarakani kwkidemokrasia na hivyo upinzani ukubali kushindwa na kusubiri uchaguzi ujao mwaka 2019.

Nacho chama cha upinzani cha RENAMO kinasema kinahitaji kupewa mikoa sita kiweze kuitawala suala ambalo linapigwa vikali na chama tawala cha FRELIMO. Sasa nini suluhu ya suala hili? Rais Fellipe Nyusi wa nchi hiyo anajawabu

(NYUSI CUT 1)

Je serikali ya umoja wa kitaifa inaweza kuwa jawabu? Rais nyusi anasema

(NYUSI CUT 2)