Dunia yamuenzi Mandela

Dunia yamuenzi Mandela

Wiki hii dunia imemuenzi kiongozi, mpigania haki na uhuru, na mwanaharakati mashuhuri hayati Nelson Mandela kutoka Afrika Kusini.

Mengi yamefanyika kumuenzi ikiwamo usaidizi kwa wahitaji kwani ni miongoni mwa mambo aliyokuwa akiyapigia chepuo enzi za uhai wake. Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.