Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hakuna mtu atakupatia uongozi, pambana; Kituyi aeleza vijana #UNCTAD14

Hakuna mtu atakupatia uongozi, pambana; Kituyi aeleza vijana #UNCTAD14

Jukwaa la vijana la kwanza la aina yake kufanyika sambamba na mkutano wa kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD limeanza leo jijini Nairobi, Kenya likileta pamoja vijana kutoka mataifa mbali mbali ulimwenguni. Assumpta Massoi na ripoti kutoka KICC kunakofanyika mkutano huo.

(Taarifa ya Assumpta)

Nats..

Kwenye viwanja vya KICC jijini Nairobi, Kenya! Ndani ya hema, mahsusi kabisa kwa ajili ya jukwaa la vijana! Vijana kutoka kona mbali mbali za dunia wakiunganishwa na maudhui moja! Kuunda dunia tuitakayo!..

Kibao hiki Change the world, kutoka kundi la Elani la hapa Kenya, kikatawala na kuwakutanisha pamoja..

Nats..

Mgeni rasmi Mukhisa Kituyi, Katibu Mkuu wa UNCTAD akawausia vijana kuwa wakati huu ni wao kusimama kidete kwa kuwa..

(Sauti Kituyi)

Beverly Nita, mmoja wa vijana akafananisha jukwaa hili na nyota ya jaha....

(Sauti ya Beverly)