Skip to main content

Uganda yazidi kuimarisha maisha ya wakimbizi

Uganda yazidi kuimarisha maisha ya wakimbizi

Nchini Uganda, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeelezea kile ambacho serikali inafanya kuimarisha mazingira ya wakimbizi na jamii zinazowahifadhi.

Mkuu wa ofisi ya UNHCR mjini Hoima, Richard Ndaula amemweleza mwandishi wetu John Kibego kuwa serikali ya Uganda..

(Sauti ya Ndaula)

Wanafunzi wakimbizi nao katika shule ya sekondari ya Destiny mjini Hoima hawakuficha hisia zao.

(Sauti za wanafunzi)