Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wanaamini wanayoyasikia kupitia radio:Mbotela

Watu wanaamini wanayoyasikia kupitia radio:Mbotela

Kuelekea siku ya radio duniani Februari 13, yenye madhui yahusuyo umuhimu wa redio kama kiungo muhimu katika kuwasilisha taarifa hususan wakati wa majanga au dharura, imeelezwa kuwa chombo hiki kinaaminika na umma.

Mtangazaji mashuhuri nchini Kenya Leonard Mambo Mbotela wa Shirika la utangazaji la Kenya, KBC katika mahojiano na Idhaa hii anathibitisha hilo akitoa mfano.

(Sauti ya Mambo)

Kadhalika amesema kwamba radio inachukua nafasi kubwa katika kukabiliana na magonjwa kwa mfano vita dhidi ya malaria.

(Sauti ya Mambo)