Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maadhimisho ya Holocaust duniani

Maadhimisho ya Holocaust duniani

Maadhiimisho ya siku ya kimataifa ya kumbukizi ya wahanga na manusura wa mauaji ya halaiki ya Holocaust ambayo imefanyika kote duniani mnamo tarehe 27 Februari, imetoa somo kuhusu kuepukana na chuki zinazoweza kusababisha mauaji kama hayo.

Ungana na Joseph Msami katika makala itakayokukutanisha na mmoja wa manusura na somo kwa vijana kupitia mauji hayo.