Skip to main content

Juhudi za kutokomeza kipindupindu kwa wakimbizi wa Burundi waliko Tanzania

Juhudi za kutokomeza kipindupindu kwa wakimbizi wa Burundi waliko Tanzania

Wakati harakati za kurejesha utulivu nchini Burundi zikiendelea, maelfu ya wananchi wamekimbilia nchi jirani ili kusaka hifadhi. Miongoni mwa nchi walizokimbilia ni Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC, Rwanda na Tanzania ambako wanakumbwa na changamoto mbali mbali ikiwemo magonjwa kama anavyosimulia Joseph Msami katika makala ifuatayo. Ungana naye.