Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM waelimisha kuhusu athari za mabomu ya kutegwa ardhini

UM waelimisha kuhusu athari za mabomu ya kutegwa ardhini

Umoja wa Mataifa umeadhimisha jumapili siku ya kimataifa ya kuelimisha kuhusu athari za mabomu ya kutegwa ardhini, ukisisitiza kwamba athari zake ni zaidi ya mabomu ya kutegwa ardhini.

Katika ujumbe wake kwa siku hiyo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema, katika nchi 56 ambapo bado mabomu kama hayo yamewekwa ardhini, changamoto ni nyingi : watoto hawaendi shuleni, misaada ya kibinadamu hayawezi kufikishwa, na athari hizo zinaendelea kwa miaka mingi hata baada ya vita kuisha.

Kulikoni ? Ungana Priscilla Lecomte katika makala hii.