Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Joto la uchaguzi lapanda Burundi,UM kufanya uangalizi

Joto la uchaguzi lapanda Burundi,UM kufanya uangalizi

Nchini Burundi wakati uchaguzi mkuu ukitarajiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu joto la uchaguzi huo limepanda. Katibu Mkuu wa Umoja wa Matifa Ban Ki-moon ameridhia ujumbe wa umoja huo wa uangalizi MENUBE kuanza kazi rasmi mwezi huu nchini humo. Kutoka Burundi mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga anaarifu zaidi.(TAARIFA YA KIBUGA)

(CLIP)

Ni mkuu wa tume huru ya uchaguzi  Pierre Claver Ndayicariye akitangaza kuwa pazia ya uchaguzi itafunguliwa tarehe 26 mwezi Mei na uchaguzi wa wabunge pamoja na serikali za mitaa kabla ya uchaguzi wa urais tarehe 26 Jubi, raia wapatao milioni tatu na laki saba ndio wamejiorodesha kwenye daftari ya wapiga kura. Je wananchi wanazunugmzia vipi uchaguzi

(sauti za wananchi)