Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukatili wa kijinsia katika kambi za wakimbizi haukubaliki

Mlemavu aliyejipatia umahiri kwa kuburudisha watu.(Picha ya UM/Idhaa ya kiswahili/J.Kibego)

Ukatili wa kijinsia katika kambi za wakimbizi haukubaliki

Siku 16 za harakati za kupinga ukatili wa kijinsia zikikamilika, Uganda imejikita katika kutokomeza ukatili huo kwenye kambi ya wakimbizi ya Kyangwali. Ungana na John Kibego w radio washirika Spice Fm iliyoko Hoima nchini humo aliyefika kambini hapo