Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kilimo cha migomba chamulikwa nchini Kenya

Kilimo cha migomba chamulikwa nchini Kenya

Kilimo ni uti wa mgongo barani Afrika na ni muhimu hususan katika maeneo ya vijijini kwa kipato cha kuweza kukidhi mahitaji. Kilimo cha migomba ni muhimu ijapokuwa kwa muda mrefu katika maeneo tofauti kilimo cha mmea huu hakikuchukuliwakamafursa ya kukuza kipato kwa jamii. Lakini kuimarika kwa teknolojia kumeimarisha zao na bei ya ndizi basi ungana na Toepista Nabusoba kutoka radio washirika wa Shirika la Utangazaji KBC katika makala ifuatayo.