Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa walaani jaribio la kumuua spika wa bunge Iraq

Umoja wa Mataifa walaani jaribio la kumuua spika wa bunge Iraq

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq, Nickolay Mladenov, amelaani vikali jaribio la mauaji dhidi ya kinara wa bunge la taifa hilo.

Msafara wa Bwana Osama Al-Nujaifi ulishambuliwa katika mji wa Mosul kwenye mkoa Ninewa Jumatatu asubuhi.

Msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirky, amesema Bwana Mladenov amewatakia majeruhi wa tukio hilo nafuu haraka, na kutoa wito kwa viongozi wote kuungana dhidi ya ugaidi.

Machafuko yamekuwa yakiendelea katika mkoa wa Anbar, ambako raia 300,000 wamelazimika kuhama makwao kwa sababu za kiusalama.