Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Athari za ghasia Sudan Kusini kwa familia moja

Athari za ghasia Sudan Kusini kwa familia moja

Kufuatia ghasia zinazoendelea Sudani Kusini wanawake na watoto ndio wanaoathirika pakubwa na hivyo kumomonyoa familia kwa ujumla.

Katika makala ifuatayo Grace Kaneiya anamulika kisa cha mtoto ambaye mama yake aliuliwa. Ni kisa chenye simanzi na kusisimua. Ungana naye.