Rais Mstaafu wa Tanzania aungana na dunia kumuenzi Mzee Mandela
Madiba amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 na ulimwengu mzima umegubikwa na machozi! Kumbukumbu ya kile alichofanyia ulimwengu huu kuhakikisha maisha yanakuwa bora kwa wengi hususan huko Afrika Kusini na hata kugusa maisha ya wananchi wengine, hakitosahaulikaAbadan! Joshua Mmali katika ripoti hii fupi anaangazia kumbukumbu ya Mzee Madiba!