Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kifo cha Mandela: Burundi yatangaza siku tatu za maombolezo

Kifo cha Mandela: Burundi yatangaza siku tatu za maombolezo

Burundi imetangaza  siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha mzee Nelson Mandela. Mandela atakumbukwa katika nchi hiyo kutokana na jukumu  lake la kuwasuluhisha warundi baada ya mgogoro wa muda mrefu na kufikia makubaliano ya Arusha ambayo ni  msingi wa  taasisi za nchi hiyo na utengamano wa taifa. Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani KIBUGA ametuandalia taarifa hii kutoka Bujumbura,.

(Taarifa ya Kibuga)