Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ICC Ajenda kuu, mkutano wa wakuu wa AU:Adis Ababa

ICC Ajenda kuu, mkutano wa wakuu wa AU:Adis Ababa

Mawaziri wa kigeni kutoka nchi mbali mbali walikuwa na mkutano hapa mjini New York ambapo walijadilili maswala mengi likiwemo swala la ICC mmoja wa aliyehudhuria mkutano ni Waziri wa masuala ya kigeni wa Kenya Amina Mohamed  wakati wa ziara yake ya kikazi  mapema mwezi huu alizungumza na Idhaa hii ambapo kwanza nilimuuliza kuhusu Mkutano aliokuwa amekuja kuhudhuria akaanza kwa kusema.

(Mahojiano kati ya Amina Mohamed na Grace Kaneiya)