Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yapiga hatua kutimiza lengo la elimu.

Tanzania yapiga hatua kutimiza lengo la elimu.

Wakati mkutano wa 68 wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa ukiendelea mjini New York huku mada kuu ikiwa ni utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya milenia , Tanzania imepiga hatua katika lengo la pili la elimu kwa wote ambapo takwimu zinasema mwaka jana uwiano wa uandikishaji wa wavulana ulikuwa asilimia 14.4  huku wasichana ikiwa aslimia 97.3

Mkoani Ruvuma nchini humo pia mafanikio makubwa yanatajwa katika kiwango cha kuongeza idadi ya wanaojiandikisha shule ya msingikamaanavyofafanua Kaimu Afisa elimu wa  mkoa huo Frezian Zombe.

(Sauti Zombe)