Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yakwamua watoto kielimu Madagascar.

UNICEF yakwamua watoto kielimu Madagascar.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limepiga kambi nchini Madagascar kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya elimu ya msingi kwa watoto hususani walemavu.

Ungana na Joseph Msami katik amakala ifuatayo kufahamu kile kinachojiri humo.