Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Idadi ya wakimbizi wa Mali nchini Niger yaongezeka upya

Idadi ya wakimbizi wa Mali nchini Niger yaongezeka upya

Takriban wakimbizi 5,600 kutoka Mali wamevuka mpaka na kuingia Niger wiki ilopita. Wakmibizi hao ambao walisafiri kwa miguu na kwa kupanda punda, wanatoka maeneo ya Kidal na Menala, na wengi wao ni wanawake na watoto.

Wanasema walikimbia hasa kwa sababu ya mapigano yanayoendelea kaskazini mwa Mali na kwa sababu wanaogopa uwezekano wa ulipizaji kisasi wa jeshi la Mali. Wamesema pia watu wengine wengi wapo njiani kuelekea Niger. George Njogopa anaripoti