Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Algeria ichukue hatua zaidi kuimarisha uchumi wake: IMF

Algeria ichukue hatua zaidi kuimarisha uchumi wake: IMF

Ujumbe wa Shirika la fedha duniani, IMF umehitimisha ziara yake ya wiki mbili nchini Algeria iliyohusisha mashauriano na mijadala kuhusu hali ya uchumi wa nchi hiyo ambapo imebainika kuwa jitihada zaidi zinahitajika ili kuimarisha uchumi wake.

Mijadala hiyo ilijikita katika sera za muda mfupi, muda wa kati na za muda mrefu kwa kuzingatia mazingira ya sasa ya uchumi wa dunia ambayo badoni magumu. Taarifa zaidi na Monica Morara.

(SAUTI YA MONICA MORARA)