Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNESCO yazindua mradi kuhusu wanawake wanaotengeneza habari 2012

UNESCO yazindua mradi kuhusu wanawake wanaotengeneza habari 2012

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO kwa mara nyingine limetoa wito kwa wadau wa habari kuhakikisha kwamba usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake linasalia kuwa la juu katika ajenda zao kupitia mradi wake maalumu wa wanawake wanatengeneza habari 2012. au WMN

Kwa mujibu wa UNESCO mradi huo unaozinduliwa kila mwaka wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ni mradi wa kimataifa wa uelimishaji wa sera kwa lengo la kuchagiza usawa wa kijinsia kupitia vyombo vya habari. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)