Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Suluhu zinahitajika kwa lengo la kuafikia maendeleo:Ban

Suluhu zinahitajika kwa lengo la kuafikia maendeleo:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amewataka viongozi wa dunia kutafuta suluhu kwa minajili ya kuafikia maendeleo. Ban ameyasema hayo kwenye ujumbe wake kwa mkutano wa baraza la shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP uliondaliwa mjini Nairobi nchini Kenya. Monica Morara anaripoti.

(SAUTI YA MONICA MORARA)